News

WIMA WALIVYOMPA TUZO RAIS SAMIA, WAZIRI UMMY

WIMA WALIVYOMPA TUZO RAIS SAMIA, WAZIRI UMMY KWA MAPAMBANO YA CORONA, WAMO WAPAMBANAJI WENGINE

Amdin | 04-05-2021

VIDEO

Rais wa Tanzania Samia Suluhu ametunukiwa Tuzo maalum kwa kutambua uongozi wake uliotukuka na heshima ya kuwa Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania, Tuzo hiyo imetolewa na Mwanzilishi wa @womeninmanagementafrica Naike Moshi @naikelli na imepokelewa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Ndalichako kwa niaba yake.


“Rais anashukuru sana kwa kutambua kwenu kuwa ameanza kazi yake vizuri na namna mnavyomtia moyo, unavyomtambua Mtu inaonesha upo pamoja nae”———Ndalichako


SUBSCRIBE TO OUR NEWSLETTER
photo
Enter your email to subscribe to our monthly newsletter and receive latest news and events.
We respect your privacy. Spam free subscription